Song: Mama
Artist:  Slimsuma
Year: 2020
Viewed: 90 - Published at: 3 years ago

Verse
Kwanza nakupenda, hili naweka wazi, Nimekuweka kwenye moyo, umeijaza nafasi, i know that you love me hilo sina wasi, nakosea unasamehe then you play nice

Sijui nikupe nini kufidia mama, maana sioni cha kukupa, vyote havina maana, toka utoto umenilea nimesumbua sana, angekuwa mwingine ile kitambo angeshanipa laana

Kila siku namshukuru Mungu aliye juu, japo nipo mbali ila mama i miss you, toka mtoto hadi sasa still i need you, uishi milele mama ndio kitu i wish to

Nakumbuka tabu zote ulizopata mama, sio tabu ndogo nakumbuka uliteseka sana, ulinipa moyo pale nilipojiona sina maana, hadi kazi mbaya ili nile mama yangu ulifanya

Bridge
Wewe super woman mama ni wewe. ×4

Chorus
Malaika nakupenda malaika, mama ni malaika nakupenda malaika. ×2
Malaika nakupenda malaika. ×7

( Slimsuma )
www.ChordsAZ.com

TAGS :