Artist: Slimsuma
Lyrics of Artist: Slimsuma
  1. [Lyric] Mama (Slimsuma)

    Verse Kwanza nakupenda, hili naweka wazi, Nimekuweka kwenye moyo, umeijaza nafasi, i know that you love me hilo sina wasi, nakosea unasamehe then you play nice Sijui nikupe nini kufidia mama, maana sioni cha kukupa, vyote havina maana, toka utoto umenilea nimesumbua sana, angekuwa mwingine ile kitambo angeshanipa laana Kila siku namshukuru Mungu...Learn More
    rapSlimsuma
  2. [Lyric] My Mainchick story (Slimsuma)

    Verse Sio kwamba sina wa kuwapost all day, sio kwamba sina wa kuwacheck all day, sio kwamba sina wakunitext all day, kuniuliza if am good ar am feelin' anyway Sio amba sina wakunicheck twwnde movie, ambao nikifulia wananitoa hadi michuzi, sio kwamba sina zile namba za ma-ex, ambao ni simu mmoja they can pull up on my face Tatizo unajiona special...Learn More
    rapSlimsuma