Song: My Mainchick story
Artist:  Slimsuma
Year: 2021
Viewed: 77 - Published at: 6 years ago

Verse
Sio kwamba sina wa kuwapost all day, sio kwamba sina wa kuwacheck all day, sio kwamba sina wakunitext all day, kuniuliza if am good ar am feelin' anyway

Sio amba sina wakunicheck twwnde movie, ambao nikifulia wananitoa hadi michuzi, sio kwamba sina zile namba za ma-ex, ambao ni simu mmoja they can pull up on my face

Tatizo unajiona special sana kisa wengi wanakutaka wanakuona we mwepesi, sio kwamba kisa nakupenda sana unalaumu wanakutaka wakichuna unawatext

Kwamba we upo busy ama nini?, sa nipange we na ex wako mnachartigi nini?, unajikuta smart ama nini?, maumivu kupokezana leo vimba kesho mimi

Design maji ndio yapo shingoni, nipo makini ila maajabu hata sioni, ona naibiwa nipo rindoni, mapenzi yananipiga maajabu hata sikomi

You don't even show that you need me, you don't even show that you're with me, i don't even know if need me, i don't even feel when you kiss me

( Slimsuma )
www.ChordsAZ.com

TAGS :