Song: Na Nusu
Artist:  Nandy
Year: 2018
Viewed: 47 - Published at: 4 years ago

Yogo on the beats
(The African Princess)
Shii! Akichekecha nacheketua naye
Bandua bwesa ninakesha naye
Bingwa wa mitindo sio foreigner
Dereva sio learner
Inashika antenna oyee
Ashanasa ulimbo, ulimbo
Sibanduki ng'o
Mi naye ngoma draw oyee
Nakesha lindo, lindo
Macho kwenye show
Kuchakachua no, oyee
Kaninogea (ooh inama inama)
Koleza na kuni moto chochea (ooh inama inama)
Akipiga kick inatembea (ooh inama inama)
Za ki China China za ki Korea (ooh inama inama)
Akipiga kick!
Napunga kipupwe Copa Cabana
Nauminilevya kama banana
Nikiguza kitufe mambo mwanana
Ulipopita we mbali we umeshona
Mtoto baiko baikoko
Kibao kata kanga moko
Chikigiriki kimoko
Nachora eeeh
Nimeshanasa ulimbo, ulimbo
Sibanduki ng'o
Mi naye ngoma draw oyee
Nakesha lindo, lindo
Macho kwenye show
Kuchakachua no, oyee
Kaninogea (ooh inama inama)
Koleza na kuni moto chochea (ooh inama inama)
Akipiga kick inatembea (ooh inama inama)
Za ki China China za ki Korea (ooh inama inama)
Akipiga kick (na nusu)
Na nusu
Na nusu

( Nandy )
www.ChordsAZ.com

TAGS :