Artist: Nandy
Lyrics of Artist: Nandy
  1. [Lyric] Yote Sawa (Nandy)

    Mimi sio kama wale Walopita zamani mpenzi Ooh niamini mwendo uwe sare Usije nicha njiani mpenzi Kule niliona mazito Penzi lilikuwaga la mpito Kulalama kulichosha koo Ila nashukuru ilinikomaza roho Licha ya kuitoa mchangani Sikuacha kujipa imani Japo mengi yalinikata maini Nikaliwazua na msondona Uzuri haupotei ramani Ubaya hauvaishwi...Learn More
    popNandy
  2. [Lyric] Nagusa Gusa (Nandy)

    Oooh oooh... I say beiby We ndo unanifaa Kukuwacha siwezi Wala kukukataa I say beiby oooh We ndo unanifaa Kukuwacha siwezi Wala kukukataa Nilikuomba beiby, uwe nami Beiby am your darling Ulikubali beiby, kuwa mami Hubby am your darling Beiby oooh nataka uwe nami Beiby oooh with you am loosing control Beiby oooh nataka uwe nami Aaah eeh ooh na yeah...Learn More
    rbNandy
  3. [Lyric] New Couple (Nandy)

    #intro (Mr. LG) #verse Ningependa kuona Vanessa na Jux Mara ghafla ikatokea nuksi Sikuwaona tena wakatengana Aslay nilizoea kumuona na Tesi Katokea mazito sio mepesi #verse Wakatengana tena Nilitegemea kumuona Harmo na Sara wakiendelea Mambo yamebadilika namwona Kajala ila nawaombea Mlitegemea Kusah na Ruby wakiendelea Mambo yamebadilika namwona...Learn More
    popNandy
  4. [Lyric] Na Nusu (Nandy)

    Yogo on the beats (The African Princess) Shii! Akichekecha nacheketua naye Bandua bwesa ninakesha naye Bingwa wa mitindo sio foreigner Dereva sio learner Inashika antenna oyee Ashanasa ulimbo, ulimbo Sibanduki ng'o Mi naye ngoma draw oyee Nakesha lindo, lindo Macho kwenye show Kuchakachua no, oyee Kaninogea (ooh inama inama) Koleza na kuni moto...Learn More
    rbNandy
  5. [Lyric] Acha Lizame (Nandy)

    Yao Yao jeshi Ooi boy boy Konde boyi Maembe suru chuku chuku ni sasamole Mi naning'inia kwa marati nipopoe (On the beat) Kiduchu nipe tena baba nijue Mi nakuzimia usizingue unisumbue wewe Mapenzi yetu ni ya mimi na wewe tu Usikize watu wananyongwa mbaya Basi nifanye kitu na boxy (lazizi wee) Usiku nipe shoti (lazizi wee) Ama nishike magoti (lazizi...Learn More
    rbNandy
  6. [Lyric] Nikumbushe (Nandy)

    Nirahisi kinywa kujawa na lawama tele Pale mambo yanapoonekana hayaendi Ni ajabu sana namna moyo unahangaika Ajabu sana moyo unavyoonyesha mashaka yakwamba Japokuwa Mungu anaishi ndani yangu kuna muda nahofu Japokuwa Mungu anaketi kati yetu kuna muda nahofu, ahh Nakumbuka wana wa Israel katika bahari yashamu Japo walikatiza katikati ya bahari kwa...Learn More
    rbNandy
  7. [Lyric] Yuda (Nandy)

    (Kimambo on the Beat) Nimemyosha wangu Yuda Vyake vitamu najipakulia Kungwi nimefundo Wake ma ex ndo wanaumia Walisema limevunda Sasa jikoni ndo linanukia Ye ndo wangu kiti Tena hachoki nikimkalia Na tena siku hizi nanenepa nanawiri Yamenoga mapenzi na yameshamiri Anipa vidogo na vikubwa tamu sio shubiri Nyumbani kumenoga huniponza...Learn More
    popNandy
  8. [Lyric] Magufuli Tena (Nandy)

    Mwenye huruma Mkombozi wa watu Ulisha ukapambania Hakuna wa kuiba wewe Watanzania Ni Magufuli, Magufuli tena Ni Magufuli Ni Magufuli, Magufuli tena Ni Magufuli Kaachia wafungwa Wenye makosa madogo gerezani Kaanzisha miradi mikubwa Kote nchini ni mzalendo Ni Magufuli, Magufuli tena Ni Magufuli Ni Magufuli, Magufuli tena Ni Magufuli Raha, raha tupu...Learn More
    rbNandy
  9. [Lyric] Mimi Ni Wa Juu (Nandy)

    Kuna wakati wa giza Mbele sioni najiuliza Mbona kama hizi shida Zimekawia kuisha Katikati ya maswali Nasikia sauti ndani, imebeba ujasiri Ikinitaka nikiri nikisema Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu Mimi ni wa juu, juu sana Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu Mimi ni wa juu, juu sana Sitafsiriwi kwa haya, machozi na magumu Mimi ni mshindi tu, kamusi ndiye...Learn More
    rbNandy
  10. [Lyric] Kiza Kinene (Nandy)

    Kimambo on the beats Kiherehere kimeniisha Eeh nimekuwa simulizi kwa penzi lako Waninanga wee Zaidi yanisikitisha Eti nimekuwa chuma cha kafuro Nipo juu ya mawe Jikoni kwangu kaingia mdudu gani? Mara kwenye kikombe mara sahani Ona katibua maji kisimani Oooh salala Huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua Masala Nimezidisha chenji kimeota...Learn More
    rbNandy
  11. [Lyric] Nalivua Pendo Remix (Nandy)

    Oh oh oh oh Leo nalivua pendo nililopenda zamani Nabadilli wangu mwendo nami niwe furahani Nimechoshwa na skendo, vita na purukushani Kweli asiyejua pendo apendwapo hapaoni Nilimpa kwa kishindo penzi lote la moyoni Raha na wingi uhondo sikumnyima mwandani Ameyavunja kwa nyundo mwenzenu sikuamini Leo nalivua pendo nirudi yangu thamani Nainua...Learn More
    rbNandy
  12. [Lyric] Kata (Nandy)

    Yeiyee, wouwooo, yeiyee! Ai, ai, ai, ai Yeiyee, wouwooo, yeiyee! Ai, ai Kata, kata, kata kata! Mmmh mpaka chini Kata, kata, kata kata! Nyonga mpaka chini Kata, kata, kata kata! Yeii mpaka chini Kata, kata, kata kata! Down low! Body lako linaitana Na hizo chuchu zasitana Nikucharaze kama gita Basi shuka shuka down low(Buyaka) De man dem no dema care...Learn More
    rbNandy