Song: Nalivua Pendo Remix
Artist:  Nandy
Year: 2018
Viewed: 55 - Published at: 8 years ago

Oh oh oh oh

Leo nalivua pendo nililopenda zamani
Nabadilli wangu mwendo nami niwe furahani
Nimechoshwa na skendo, vita na purukushani
Kweli asiyejua pendo apendwapo hapaoni

Nilimpa kwa kishindo penzi lote la moyoni
Raha na wingi uhondo sikumnyima mwandani
Ameyavunja kwa nyundo mwenzenu sikuamini
Leo nalivua pendo nirudi yangu thamani

Nainua mikono baba kitambaa cheupe
Ishara ya mapenzi baba ooh zimora
Wewe na mi zimora baba ua langu la moyo
Haya yote ni tisa tuu moja jaza pekee

Ada ya mja hunena, ungwana ni kitendo uuh
Hadhi yangu kubwa sana si mimi kuwa mdondoo
Wewe na mi zimora baba ua langu la moyo
Haya yote ni tisa tuu moja jaza pekee


Nimehitimu msondo msondo wa kizamani
Nikahusiwa upendo upendo siri yake nini
Nimefundwa kimitindo na starehe za chumbani
Kupendana ni matendo mtendeane hisiani
Kweli mchezea jando mapenzi kwake ni nini?
Bora niyapige tindo (turururu)
Mimi nawe buriani

Nainua mikono baba kitambaa cheupe
Ishara ya mapenzi baba ooh zimora
Wewe na mi zimora baba ua langu la moyo
Haya yote ni tisa tuu moja jaza pekee

Ada ya mja hunena, ungwana ni kitendo uuh
Hadhi yangu kubwa sana si mimi kuwa mdondoo
Wewe na mi zimora baba ua langu la moyo
Haya yote ni tisa tuu moja jaza pekee

Wewe na mi zimora baba ua langu la moyo
Haya yote ni tisa tuu moja jaza pekee

Chika chika chika chika chika Mwasiti
Chika chika chika chika chika chika
Haya yote ni tisa tuu
Zimora zimooora
Zimoraa oooh baba

( Nandy )
www.ChordsAZ.com

TAGS :