Song: Namba 8
Artist:  Daz Baba
Year: 2004
Viewed: 58 - Published at: 8 years ago

Intro: Fid Q
Lina nichanganya umbo lake, nikimpata simuachi
Lina nifanya nimfate, akinimwaga ita ni-touch Ah!
Aaa...anayevutia...
Lina nichanganya umbo lake, nikimpata simuachi
Lina nifanya nimfate, akinimwaga ita ni-touch Ah!
Uuu....utamfurahia....

Chorus: Daz Baba
Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema' nampenda sana
Au apige hilo gita Majani' kama Santana, ili na mimi nimuimbie mama...

Embu piga hilo gita Majani' zaidi ya Santana, ili na mimi nimuimbie mama...

Verse 1: Daz Baba
Nimekaa chini mtu mzima nikafikiria
Warembo wengi sana kwenye hii dunia
Mi umbo namba nane kichwani akan'jia, toka moyoni sina budi kumsifia
Mwenye sura matata, macho yanayoita
Ana utata huyu binti wa ki-afrika, hata mcheki alivyo umbika' ana bebeka kama gita
Akitembea' bado ana tingisha, pendeza kimavazi, hata akiweka pozi
Mtoto anaweza akakutia "hard" kwenye njozi
Sijui niseme akae, au niseme asimame
Lile umbo namba nanе watu wote mumuone...
Chorus: Daz Baba
Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasеma' nampenda sana
Au apige hilo gita Majani' kama Santana, ili na mimi nimuimbie mama...
Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema' nampenda sana
Embu piga hilo gita Majani' zaidi ya Santana, ili na mimi nimuimbie mama...
Verse 2: Fid Q
Anauliza kama nina demu, namwambia, sina!
Anahisi ashaniona sehemu, tatizo kanisahau jina
Unaitwa nani?: Fid Q
Unaishi wapi?: Ghetto
Kazi yako ni ipi?: Muziki, (Ausio)
Mdomo una kuwa mzito, niongee kipi cha maana
Ki vipi nimkazie jicho wakati binti kasimama
Au nijikombee maujiko, Fid sitaki kujuana
(?) Usinizingue ki hivyo, mi simuachi huyu kimwana
Anaonyesha' hana maringo lakini ashawahi kupima
Asha nzimika kimtindo, mchizi kipingamizi sina
Yupo shkopa, yupo shalo, tina tina, yupo full' (Oi!)
Kama wasemavyo watu wazima

Chorus: Daz Baba
Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema' nampenda sana
Au apige hilo gita Majani' kama Santana, ili na mimi nimuimbie mama...
Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema' nampenda sana
Embu piga hilo gita Majani' zaidi ya Santana, ili na mimi nimuimbie mama...

Verse 3: Daz Baba
(?) anapokaa' mimi napajua, najua kumfata wala haitonisumbua
Kama ananipenda kweli, nami nampenda pia
Ndio maana mpaka sasa bado na muimbia
Mi umbo namba nane ananichanganya, embu piga hilo gita Majani' zaidi ya Santana-na
Ukiwa nae watu watababaika, na macho kuona wakimuona watamfuata
Hakika una sifa' zote, popote' alipo utataka we uende, umfuate, umvishe pete... Yeye...
Eeh...
Chorus: Daz Baba
Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema' nampenda sana
Au apige hilo gita Majani' kama Santana, ili na mimi nimuimbie mama...
Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema' nampenda sana
Embu piga hilo gita Majani' zaidi ya Santana, ili na mimi nimuimbie mama...

( Daz Baba )
www.ChordsAZ.com

TAGS :