Artist: Daz Baba
Lyrics of Artist: Daz Baba
  1. [Lyric] Usiku Huu (Daz Baba)

    Intro: West no East Zoo Kijenge juu Scout Jentaz Daz Mwalimu, Ah! Hii record Yah Daz Nundaz Yah Yah Chorus: Nataka niwe na wewe hapo sista doo ( Sista Doo ) Umependeza pekee yako usiku huu ( Usiku huu ) Na mavazi yako, unaniweka roho juu ( Roho Juu ) Basi embu cheza toka chini mpaka juu Nataka niwe na wewe hapo sista doo ( Sista Doo ) Umependeza...Learn More
    rapDaz Baba
  2. [Lyric] Unavyofanya (Daz Baba)

    Chorus: Daz Baba Unavyofanya sivyo' watu watakuona ovyo... Tabia yako sio' maishani utapata matatizo... Matatizo!... Asa kwanini ufanye hivyo' wakati unajua sivyo... Tabia yako sio' kwenye jamii utaleta matatizo... Matatizo!... Verse 1: Mwingi wa kukopa' kulipa matanga, shida kidogo unakwenda kwa waganga Mwingi wa kukopa' kulipa matanga, shida...Learn More
    rapDaz Baba
  3. [Lyric] Wife (Daz Baba)

    [Instrumentals:] Verse 1: Daz Baba Daz Baba nishakuwa mtu mzima' mi Sasa nahitaji mrembo wa kuishi nami Kuzaa na kulea, watoto nami Kwenye shida na raha avumulie nami Asinifanye kama barua, asababishe nijaribu kujiua Anipe mapenzi, nimpe mapenzi Naye aya enzi, asinifanyie ushenzi Pre: Chorus Ntafurahi nikimpata’ mwenye sifa zote nnazotaka Kiuno...Learn More
    rapDaz Baba
  4. [Lyric] Namba 8 (Daz Baba)

    Intro: Fid Q Lina nichanganya umbo lake, nikimpata simuachi Lina nifanya nimfate, akinimwaga ita ni-touch Ah! Aaa...anayevutia... Lina nichanganya umbo lake, nikimpata simuachi Lina nifanya nimfate, akinimwaga ita ni-touch Ah! Uuu....utamfurahia.... Chorus: Daz Baba Mi umbo namba nane ana nichanganya, toka moyoni nasema' nampenda sana Au apige...Learn More
    rapDaz Baba
  5. [Lyric] Usihukumu (Daz Baba)

    [Instrumentals] Chorus: Usi hukumu mwenzako bila ya kujua, utakuwa unakosea Disa' kwani wote tumeletwa na mwenyezi' chini ya jua Sure' ah...aah...aahaa... ( Watu wanaishi vipi ) Bora ukinielewa... ( Maisha mafupi ) Verse 1: Ukisikia' kwanza fuatilia, ukishajua Ndipo uchukue hatua Usipende kuhisi zaidi ya kudadisi, haifai kumuita mtu wa mola,...Learn More
    rapDaz Baba
  6. [Lyric] Elimu Dunia (Daz Baba)

    [Instrumentals] Verse 1: Fikra za ajabu, kiburi pamoja na zogo Nilionekana nnazo tangu nikiwa mdogo Michezo ya hatari, pamoja na dhuluma Kiburi kwa wakubwa zangu walipo nituma Ndipo wazazi wangu walikaa chini wakafikiri, japokuwa mimi mkubwa' nianze skuli Ndipo nilipoanza la kwanza mpaka la pili’ ambapo kamari na jeuri vikawa vimeshamiri Nikasogea...Learn More
    rapDaz Baba