Song: Ndovu Ni Kuu
Artist:  Ndovu Kuu
Year: 2021
Viewed: 82 - Published at: 7 years ago

[Intro]
Ndovu ni kuu (OG)
Na itabidi wanijue, ah ah ah
Basi weka mkono juu, ah ah ah
Juu…

Ey vile na bambam polisi wana ubaya
Dame yako vile mahanjam na mi sina ubaya
Kosea uniite handsome husikii hizo ni hekaya
Felicia na lisa, hivo ndo mi niliwa acquire

Cheki! Tulikuwa na pamela shule moja ndani ya kwaya
Siku hizi vile anameza mara moja utagwaya
Na ananiringia sana flat tummy hana taya
Ako na kila kitu kitu hanaga ni haya

Mtoto wangu akiitwa KU ntakataa
Hakunaga masomo KU nimekataa
Unapeleka mtoi first year introduction
Baada ya wiki mbili ashajua reproduction
[Chorus]
Ndovu ni kuu, ah ah ah ah
Na itabidi wanijue, ah ah ah
Basi weka mkono juu, ah ah ah
Yes you, ah ah ah, you

Ndovu ni kuu, ah ah ah ah
Na itabidi wanijue, ah ah ah
Basi weka mkono juu, ah ah ah
Yes you, ah ah ah

[Khaligraph Jones]
Yeah! napull up na gari ya color green ka nafanyanga safcom
Luku kasuku lakini kombato ni custom
Peng analia mi hupenda venye unarap Jones
Na ju sitaki corona girl please put your mask on
Nekwendete pamela umeza ka tembе
Anapenda lollipop analamba ka peremеnde
Lazima akuwe mkamba jina ya pili ni Mwende
Mi nasikia madem wakamba wanapenda makek–

Kamecarry bumbum kanakaa kama Mariah
Nakashow tunaenda London kumbe ni Othaya
Nitakosaje kupenda tamtam na jina ya kwanza Brian
Demu amakaa screen ya samsung so vidole ziko required
Usichomee K.U hao mastude hupata PHD
Utapatana nao Kilimani kama si Westie
Social media ndio social studies
So nowadays ukitaka kuthigitha we mwambie mkafanye GHC
Wale wamesoma ndio sampuli ya Omollo G
Ata reproduction pia si topic kwa biology
Bora kuna chemistry Pamela kenje follow me
Vile ndovu kubwa noma sana nyaka bwogo gi
Sina marafiki sitaki mbogi iniscrew (Kwenda)
Mnataka mrande kiasi ndio mnisue
Hii city ya usherati tabia mbovu ni true
Big up to Krispah washajua ndovu ni kuu, OG

[Chorus]
Uh uh uh, aki walai ushatujua
Uh uh uh, basi weka mkono juu
Uh uh uh, yes you, uh uh uh you

Ndovu ni kuu, ah ah ah ah
Na itabidi wanijue, ah ah ah
Basi weka mkono juu, ah ah ah
Yes you, ah ah ah, you

[Boutross]
Okay.. mbaibe
Ashaniambia anapenda fom za kulengalenga
Anakaa mlami but mlami amesoteka
Nimezoea Njeri, Ndalu, na Violeta
Nimezoea msupa akinirollia kavela
Ati ana gorilla wall siwezi penya
Unadai mate na uko fom za ketepa
Ka huwezi buy hiyo drink si basi kwenda
Mi nakupa kiss kwa Chris nakill your status
[Chorus]
Uh uh uh itabidi wanijue
Uh uh uh basi weka mkono juu
Uh uh yes you uh uh you

Okay! I say Oh
Manzi yangu hukuwanga sumu ey
Either nimepagawa ni juju
Mmmh cocktail ya Maasai na Mkikuyu
Ako na gap kwa meno na bado she can chew you

Ooh ama ni lugha hainanga luku
Kiswahili ninayo hadi kizungu
Vile ameni bambam shiro, amamebong shumra taya
And am bad man she loves

Oh eh, full type zii kuweka kwa moods
Ka vile champagne huserviwangwa nude
Aii champagne huonja ka juice
Mi hupiga ka Tusker ju

Ndovu ni kuu, ah ah ah ah
Na itabidi wanijue, ah ah ah
Basi weka mkono juu, ah ah ah
Yes you, you you

( Ndovu Kuu )
www.ChordsAZ.com

TAGS :