Song: Nitachelewa
Artist:  Ibraah
Year: 2021
Viewed: 51 - Published at: 4 years ago

[Paroles de "Nitachelewa"]

Ah, ah, ah uh, uh oh, oh oh, oh, oh chinga
Ah ah ah, ah, ah, ah ah
Ah, ah, ah uh, uh oh, oh oh, ah ah ah

Yeah sijui hata nifanyeje
Sijui hata nifanye nini me
Maana hata siamini
Hmn no ho
Nilikula kiapo nikungoje
Ila bado haiingi akilini
Maana nishakula ya mini yawe
Eh kwa mashogazo ulichota mafumbo
Ngoja ngoja inaniumiza tumbo
Masikini umeshafata mkumbo, yaani umesepa
Umeziacha zimejaza na rundoo
Na una ponda yangu fupi myundo
Eti unaning'ong'a, tajiri wa uvundo
Ndio chanzo umeniteka, aah
Na naimani nitajijengea
Nisikuwaze kwa ubaya kwa ubaya
Maana before nlitimia
Leo uwe mfano wa bandama umebanduka
Labda yango nyota imefifia wamekuteka we ah we ah
Simanzi imenielemea shilingi imepinduka Kama usiporudi (nitachelewaa)
Oh oh (kupona nitachelewa)
Ah Nitachelewam mama (nitachelewa)
Hmm Hmm (kupona nitachelewa)
Kupona maradhi ya moyo (nitachelewaa)
Yeah (kupona Nitachelewa)
Kama sio wewe nani tena (nitachelewaa)
Oh no (kupona nitachelewa)
Nitachelewa mama
Ah ah aah, hmmm yeah
Oh oh oh, yeah
Mi najaribu kujisahaulisha ila moyo unagoma, unagoma
Hasa nikikumba zako methali na nahau
Japo unanionyesha dharau
Moyo hautaki komaa, kukoma
Mwingine sitaki penda na usidhani ka nitakusahau
Oh maana vita penzi lako ntapigana
Nikiamini utarudi we changama
Maana siko sawa ujue, mkuki kwa nguruwe
Kwa binadamu mchungu (wanaogombana)
Siku zote ndio wananopatana
Ama unapenda mi ninavolalama
Sijui nilipokosa ujue
Na malengo ujue
Mimi najua wewe langu fungu
Na naimani nitajijengea
Nisikuwaze kwa ubaya kwa ubaya
Maana before nlitimia
Leo uwe mfano wa bandama umebanduka
Labda yango nyota imefifia wamekuteka we ah we ah
Simanzi imenielemea shilingi imepinduka
Kama usiporudi (nitachelewaa)
Oh oh (kupona nitachelewa)
Ah Nitachelewam mama (nitachelewa)
Hmm Hmm (kupona nitachelewa)
Kupona maradhi ya moyo (nitachelewaa)
Yeah (kupona nitachelewa)
Kama sio wewe nani tena (nitachelewaa)
Oh no (kupona nitachelewa)
Nitachelewa mama
Chinga, Konde music world wide
Yeah yeah yeah yeah yeah

( Ibraah )
www.ChordsAZ.com

TAGS :