Artist: Ibraah
Lyrics of Artist: Ibraah
  1. [Lyric] Wandoto (Ibraah)

    [Paroles de "Wandoto"] Nahisi kama naota Na kumbe reality tayari Aliyefanya nateseka Ni wewe Na nafsi inachochota Najipa imani sijafeli Nahitaji faraja Hata chembe nipewe maa Macho pembeni nisikupe pesa Kwako yaani nishafika Kumbe makucha uliyaficha Na ushanikwarua ooh Na zangu hisia umeziteka Nilipokosea sawazisha Usije hadharani...Learn More
    rapIbraah
  2. [Lyric] Subira (Ibraah)

    [Paroles de "Subira"] Oh nah nah Subira imeniponza, natokota Kwote kupambana tatu bila Langu penzi tamu tamu, wameliokota Eh moyo ukauwacha na malenge lenge Umeota vidonda eh Nimefuba hali ni shiwenge Wivu nakonda Anipita mbali kama kigege Aniacha hoi mi mlege lege Nadharaulika ananiona bwege Oh inauma Kama asali nishapokonywa...Learn More
    rapIbraah
  3. [Lyric] Hayakuhusu (Ibraah)

    [Paroles de Hayakuhusu"] Wewe, aah aah ah Haukutaka kulea, wakati unalelewa Lazima uvunjie watu wazima heshima Punguza mazea unajifanya una-care Wakati umemtelekeza Fahima Achana na walokutangulia Wakati kesho yako hujui itakwangukia Unaweza Wasafi ukatimuliwa Na Konde Gang ukaja kusign-iwa Unashindana na mwanajeshi Ambaye vita aliianza baba...Learn More
    rapIbraah
  4. [Lyric] Nitachelewa (Ibraah)

    [Paroles de "Nitachelewa"] Ah, ah, ah uh, uh oh, oh oh, oh, oh chinga Ah ah ah, ah, ah, ah ah Ah, ah, ah uh, uh oh, oh oh, ah ah ah Yeah sijui hata nifanyeje Sijui hata nifanye nini me Maana hata siamini Hmn no ho Nilikula kiapo nikungoje Ila bado haiingi akilini Maana nishakula ya mini yawe Eh kwa mashogazo ulichota mafumbo Ngoja ngoja...Learn More
    rapIbraah
  5. [Lyric] Sawa (Ibraah)

    [Paroles de "Sawa"] It's Bonga (Oh nah nah nah nah nah aah) Asante Mungu Baba uliye mwema Nimeiona siku nyingine ya furaha Hali sio haba sio njema Wa kuniponya nipate hata chembe ya furaha Maana wazazi wananitegemea Na ninakaribia mi kuitwa Baba Nami ndunguzo waloegemea Sina kitu nimechalala nimevava Uniepushe mabaya dunia Yasijenikumba Napiga...Learn More
    rapIbraah
  6. [Lyric] Wawa (Ibraah)

    [Paroles de "Wawa" feat. Joeboy] My sweety my lover o You're my sugar sugar Please give me true love o Usije ukazuga Usijezuga kitorondo eh Nimekutunzia mkongo eh Nikupe kipande cha nondo girl Eh utaenjoy Baby share to me Ask anything I go give them o my love Baby share to me Anywhere you want I'mma be there for you Kabisa kiboko ya mie Tena...Learn More
    rapIbraah
  7. [Lyric] Upande (Ibraah)

    [Paroles de "Upande" feat. Skales] It's Okay (Wouwoo, yeiyee) Mr Skales on a mission Them dey see on (Kapipo) Sijui jina gani nikaite Maana kamefurika katoto Sielewi njia gani nikapite Maana kananipatianga moto Mti ushaitika dedede La kete kinijaze kidebe Ma nitakalia denge Panda kwa wake uwanjani Kadenge Mama wangu jana pema (Ilete) Mi nataka...Learn More
    rapIbraah
  8. [Lyric] Nimpende (Ibraah)

    [Paroles de "Nimpende"] Mmmh mmh aah ah (Wambaga Made it) Eh kutwa namwomba Mungu anijalie Maumivu mbali yanipitie Maana hayaeleweki haya, hayasomeki mapenzi Nami nimpate wa kwangu atulie Mwenyewe tu nijisevie Maana hayaeleweki haya, yamejaa u-fake mapenzi Na yasiwe ya kupostiana, na vikopakopa kwa mitandao Tena n'choresha, tena nogesha Chonde...Learn More
    rapIbraah
  9. [Lyric] Nani (Ibraah)

    [Paroles de "Nani"] Mmmh yeah Mmmh Yeah, (Moko) Asubuhi kumekucha Wingu limetanda Na mvua yata kunyesha Na uko mbali Mama Maji takitirika Ooh baridi itanishika We ndo chanda chema Uhakika unanitatisha tamaa Utaambiwa binadamu Ah kila mmoja ana mapungufu yake Sijui nilipoteleza Mama Si ungenambia Nime miss tabasamu Kutwa kucha Picha kumezea...Learn More
    rapIbraah
  10. [Lyric] Nimekubali (Ibraah)

    [Paroles de "Nimekubali"] Kapipo on the beat, hey eeeh Ooh nanana, ooh mamama Maulana mmmh (Kapipo) Kapu limeshajaa Mapitilizo maudhi yamezidi Moyo wangu uko mbali nawe Soko la karafuu umeuza dagaa Na ule utamu umeugawia kijiji Umenipa donda la roho Isipagawe Mungu amenipa ufahamu Natambua lipi chema na baya Usizuge kwa tabasamu Kumbe huna...Learn More
    rapIbraah