Song: Nothing That Im Doing
Artist:  Lilmaina
Year: 2021
Viewed: 54 - Published at: 5 years ago

[Intro: Omosh]
I have nothing that i'm doing
Nothing that i'm doing
Ni kuamka tu asubuhi
Kung'ara na kutoka nje tu
Doing nothing

[Verse 1: Lilmaina]
Yeah, ok ok
Only thing inanibamba ni M-Pesa
Manzi ni electrical but baby you're no Tesla
Gikuyu mũndũ wa besha
Mahandas na ketepa
Manzi wako akikuja buda atapepetwa (Let's go!!)

[Chorus: Lilmaina]
I have nothing that I'm doing (Uh uh)
Form ikitokea there's nothing that I'm doing (Mmh Mmh)
Dem akiongea there's nothing that I'm doing (Wee)
Form ikitokea there's nothing that I'm doing
Sishiki simu sitambui
I have nothing that I'm doing (I have nothing)
Form ikitokea there's nothing that I'm doing (Hakuna)
Dem akiongea there's nothing that I'm doing (Mmh Mmh)
Form ikitokea there's nothing that I'm doing
Sishiki simu sitambui
[Verse 2: Lilmaina]
Niite Kabi wa Jesus blame the devil coz of chеating (Wa Jesus)
Father Father Lord havе mercy, why do we keep on sinning?
We ni (badiflakin), siamini
Alisema ananipenda but nilipata ni kiberiti
Akaniacha, alidhani ati Jeremy Maina nitalia
Nikarudi home nikashika chrome na smokie ikaingia
Aliuliza nataka nini nikasema kuwa engineer
Respect me when I talk, nikibonga unaingilia (badiflakin)
Niko na Morgan na Captain
Manzi alikuja nikamuacha kama fountain
I asked her do you swallow, manze ni ka anapenda protein
But sidai ku-cuff siku hizi Kanairo kumaintain

[Verse 3: Kahush & Lilmaina]
Ngori
Ngori Nairo so my ex I'm calling
Kama author nikidunda, me I'm on the same storey
Manze shit shit
Anataka wine naleta porridge
Nothing that I'm doing
Anataka date naleta sorrey
Analeta storo buda mi sibongi can you go
Saii sina form na nimeshashika ka-chrome
Manzi aliomoka cheki after and before
DM niko ndani like I jumped into a hole
Drip kama Dasani
Kama ocean kama sea (Sea)
Booty ni Wanjiru mi nataka Tracy
Ana-end up kuwa cuzo but ye ni wa Jesus can't you see
We kata chrome na jaba alafu uniachie KC

( Lilmaina )
www.ChordsAZ.com

TAGS :