Song: Oksijeni
Artist:  Rodjazz
Year: 2022
Viewed: 5 - Published at: 10 years ago

Song Title: Oksijeni

Verse One

Kama jua kuwaka kati ya usiku
Ilivyokuwa haiwezekani, ndivyo ilivyo kwangu
Kujifanya nimesahau kila kitu
Wakati sura yako ndiyo
Naiona nikifumba macho

Bado nakupenda
Moyo wangu unao
Wewe ni kila kitu kwangu
Mbali huko uliko
Pumzi yangu unayo wewe
Nakupenda

Chorus

Bado maswali ni mengi lakini poa
Nitakuwa salama
Moyo umekukosa lakini poa
Nitakua salama
Unazurura, zurura akilini
Ooh unazurura zurura akilini
Verse Two

Oh, baby oksijeni yangu
Chumba spesho cha moyo wangu
Nimeona mengi maajabu
Lakini kwako ninastaajabu
Nimeona jua likichomoza magharibi
Mwezi ukiwaka alasiri
Maji yakipanda kitonga
Lakini yako bado ni mageni

Bado nakupenda
Moyo wangu unao
Wewe ni kila kitu kwangu
Mbali huko uliko
Pumzi yangu unayo wewe
Nakupenda

Chorus
Bado maswali ni mengi lakini poa
Nitakuwa salama
Moyo umekukosa lakini poa
Nitakua salama
Unazurura, zurura akilini
Ooh unazurura zurura akilini

( Rodjazz )
www.ChordsAZ.com

TAGS :