Song: PEPTANG
Artist:  NATTY GTA
Year: 2020
Viewed: 43 - Published at: 3 years ago

(Chuom na shada ka rada ni safi)
(Hii sio wada nipate maskani)

Chuom na shada ka rada ni safi (safi)
Mi hukam ka thegi mtaani
Na circle ni small hatubambi umati

Me sio wada nipate maskani
Huyu dem ako busy hio pongi ni traffic
Most times ilikuwa tu tragic (Uh)
Walihepanga smagics
Sipendi madrama ndio maana niko maji

Most times nilikuwa tu around hii area niite tu king of the block
Na sijai fuatana na msee ka si geng si unajua tu huyo morio namdrop
Niko na bad intention
Macho Chinese ju ya venye hii blade inachop
Right now, right now wako all on de pussy

NYS nilimwacha akijog
Alidhani nimequit hii shank iko fit ni chings with no delay
We skia anawika si unipitishie kigode
Leta hio umbleina uone tool ikispray
Ka siko on job ujue jo niko sorted
In fact me ndio nilipave the way
Hao marraper wakishindilia context
Nilikuwa namove notes ka chain

Mwambie arelax nikipush jo inner
Anything sh- get -sh
Anything op by forcе naichambua for dinner
Ndio maana wote walizima kwa hii rizzla
Ata sijavua na dem ashajipa
Nyi bado mnalilia fеatures
Mi niko top by choice
Ka si doo invoice
Nikiswitch hii flow mtakeep up

(Nikiswitch hii flow mtakeep up)
Tell me what′s your choice nikisema usikuje usilete hio kichwa
Na siezi trust hao mafala maboy wana swara maboy wamevimba
Rong nilikuwa naball ka Lingard
Staki location nataka tu jina
Anacheza na stima

Bro ako waiting namove tu diligent
Ju how many times nilitap hio haga
Bado booty ni silicone
Nataka hio doo advance nikichill kwa beach nacount tu mamillions
Wameanza kuwa ghetto juzi penda mtaa yako bro kuwa lenient
Na mi huvuta different strand nikipull up na mash ujue kumedhoka
Same time anataka double-tap me siezi double-tap hio pongi haijaomoka
Siezi beef hao mafala nikue ka (Uh)
Nipoteze focus
Ju same way naback (Uh)
Ka sijamfunua nitakam na copper

Most times nilikuwa tu around hii area niite tu king of the block
Na sijai fuatana na msee ka si geng si unajua tu huyo morio namdrop
Niko na bad intention
Macho Chinese ju ya venye hii blade inachop chop
Right now wako all on de pussy
NYS nilimwacha akijog

Chuom na shada ka rada ni safi (safi)
Mi hukam ka thegi mtaani
Na circle ni small hatubambi umati
Me sio wada nipate maskani
Huyu dem ako busy hio pongi ni traffic
Most times ilikuwa tu tragic (Uh)
Walihepanga smagics
Sipendi madrama ndio maana niko maji

( NATTY GTA )
www.ChordsAZ.com

TAGS :