Song: Tausi Wangu
Artist:  Happy C
Year: 2021
Viewed: 53 - Published at: 4 years ago

[Intro]
Ooh ayayaya
Toti on the beat

[Verse 1]
Fumba macho usione, nina zawadi nimekuletea
Baby no usigome, kama mapenzi basi ongezea
Asali yangu nairamba nimalize kibuyu
Wangu wa ndani nimumunye mi ni wako mahabusu
Usinitenge kwenye msoto,kwenye joto nifute jasho
Nibembeleze kama mtoto uilinde hadhi yangu

[Pre Chorus]
Wenye husda achana nao
Tumejenga kuta ya kutengana nao
Wenye husda achana nao
Tumejenga kuta yeah yeah yeah yeah

[Chorus]
Tausi wangu wa pekee [ooh] wa pekee
Kipenda roho wa pekee [ei yeah] wa pekee
Tausi wangu wa pekee [oooh] wa pekee
Kipenda roho wa pekee [ah yeah yeah yeah] wa pekee
[Verse 2]
Moto umeuzima,siwezi kwenda kwingine
Tumekula yamini, mimi na wewe
Umenivuruga umenifanya dondocha,siwezi dondoka umenishikilia
Mapenzi tamu tamu unanipa naburudika nafarijika mama

[Pre Chorus]
Wenye husda achana nao
Tumejenga kuta ya kutengana nao
Wenye husda achana nao
Tumejenga kuta yeah yeah yeah yeah

[Chorus]
Tausi wangu wa pekee [ooh] wa pekee
Kipenda roho wa pekee [ei yeah] wa pekee
Tausi wangu wa pekee [oooh] wa pekee
Kipenda roho wa pekee [ah yeah yeah yeah] wa pekee

Ooh yeah Ooh
[Bridge]
Simama wakwone Jishebeshebedue
Cheza wakwone wakomeshe
Simama wakwone ringa ringa
Cheza wakwone wakomeshe
Simama wakwone Jishebeshebedue
Cheza wakwone wakomeshe
Simama wakwone ringa ringa
Cheza wakwone wakomeshe
[Outro]
Sultan 001
They call me Happy C yeah
Yeah yeah

( Happy C )
www.ChordsAZ.com

TAGS :