Song: Teso
Artist:  Tattuu
Year: 2003
Viewed: 68 - Published at: 5 years ago

[Intro]
OGOPA Deejays
Tattuu

[Verse 1]
Mateso ya roho, umenivunja moyo
Umenitesa kanifanya nalia
Wangapi kapitia? Mimi, Rhoda, Sofia
Wanichezea na sasa naishia
Na Wahenga walitueleza, usipoziba ufa utajenga 'kuta
Basi ukuta hiyo ishabomoka
Umenifanya nitapike umenitendea up'eke
Siwezi tena wanifanya nawika

[Hook]
Wooi wooi, parapanda inalia
Wooi wooi, kesho naishia
Masaa inakwisha (masaa)
Nalia wooi wooi, nawika

(Phone ring)
Hello, I can't... I can't do this
[Verse 2]
So, sijui kwa nini najipata nalia
Nina ng'ombe wangu wa kidumedume mpaka asukumwe
I know he's a liar but I can't help myself
I'm going back and just don't ask me why
Nitawezaje kumweleza roho yangu ishapenda
Mateso haya yananihangaisha

[Hook]
Wooi wooi, parapanda inalia
Wooi wooi, roho ishadunda
Masaa inakwisha (masaa)
Nalia wooi wooi, nawika

Wooi wooi, parapanda inalia
Wooi wooi, roho ishadunda
Masaa inakwisha (masaa)
Nalia wooi wooi, wooi wooi woo...
Wooi woo, navuja roho
Mateso ya roho, nalia roho... Woii!
Woii!

[Hook:]
Wooi wooi wooi, parapanda inalia
Wooi wooi wooi, ooh ooh ooh
Masaa inakwisha (masaa)
Na roho ishadunda
[Outro]
Mateso yanibana aah
Nalia wooi wooi
Wooi wooi woah!

( Tattuu )
www.ChordsAZ.com

TAGS :