Song: Upo Moyoni
Artist:  Rodjazz
Year: 2022
Viewed: 12 - Published at: 3 years ago

Song Title: Upo Moyoni

Verse One

Hivi bado unafikiria
Vile vyote tuliweka rehani
Ili mapenzi yetu yaendelee
(Ili mapenzi yetu yaendelee)
Hivi bado waniwaza mimi
Au basi tena sipo moyoni
Huenda hauniwazii tena
(Tena tena)

Ooh, kila siku baby nakuwaza
Huenda mpenzi haunitaki tena
Daily nakuwaza (nakuwaza nakuwaza)
Ooh, kila siku baby nakuwaza
Huenda mpenzi haunitaki tena
Daily nakuwaza (nakuwaza nakuwaza)

Chorus
Ooh, bado upo moyoni
Upo moyoni, upo moyoni
Ooh, bado upo moyoni
Upo moyoni, yeah

Verse Two

Nyumba imebaki boma
Nilipenda ubaki ukagoma
Mapenzi hayakutosha
Na moyo wangu bado kukoma
Ubongo umekosa namna, yeah
Naamini utarudi yeeah

Ooh, kila siku baby nakuwaza
Huenda mpenzi haunitaki tena
Daily nakuwaza (nakuwaza nakuwaza)
Ooh kila siku baby nakuwaza
Huenda mpenzi haunitaki tena
Daily nakuwaza (nakuwaza nakuwaza)

Chorus

Ooh, bado upo moyoni
Upo moyoni, upo moyoni
Ooh, bado upo moyoni
Upo moyoni, yeah
Ooh, bado upo moyoni
Upo moyoni, upo moyoni
Ooh bado upo moyoni
Upo moyoni, yeah

Bridge

Usiporudi nitabaki mkiwa
Usiporudi nitabaki mwenyewe
Naomba nielewe
Usiporudi nitabaki mwenyewe
Usiporudi nitabaki mwenyewe
Naomba nielewe uuuh

( Rodjazz )
www.ChordsAZ.com

TAGS :