Song: Usiku Huu
Artist:  Daz Baba
Year: 2004
Viewed: 61 - Published at: 2 years ago

Intro:
West no
East Zoo
Kijenge juu
Scout Jentaz
Daz Mwalimu, Ah!
Hii record
Yah
Daz Nundaz
Yah
Yah

Chorus:
Nataka niwe na wewe hapo sista doo ( Sista Doo )
Umependeza pekee yako usiku huu ( Usiku huu )
Na mavazi yako, unaniweka roho juu ( Roho Juu )
Basi embu cheza toka chini mpaka juu

Verse 1: Daz Baba
Kwa leo wewe njoo mapema, Utanikuta counter mtu mzima, mfukoni nina kama M nzima, halafu nje niko nime park yangu Beamer...
Vipi...
Haujui leo (Yah, Mon)
Uvae vipi ,(Uh) na kwenye party uje saa ngapi, (Yah yah)
Na kwenye party uje saa ngapi, anha'

Hook:
(Sure!)
Na mahela'
Ila kuna mabinti wakilewa wamenikera
(Thats why)
Sure'
Na mahela'
Ila kuna mabinti wakilewa wamenikera...
(Yah Mon!)

Verse 2: Mr. Blue
Mami doh, Mami doh, Mami doh, Mami doh
Shawty come and flow toka long time nakuita njoo' Oh o Oh o
Njoo counter uliza nani kama Fabolous
B.I.G. pose yaani ni mna' kula glass (Glass...)
Take it to snake chicks
Take it to snake chicks (Snake chicks)
Japo' wapo wengi ma chicks na wenyewe ma (?) na midomo ya lips, of course ma miss no...
Telling you doo' panda kwenye gari la bluu
Tuka celebrate doo' tuka celebrate doo
Its me' Mr.Blue
Kwali << Kwali
Aina Noma
Chorus:
Nataka niwe na wewe hapo sista doo ( Sista Doo )
Umependeza pekee yako usiku huu ( Usiku huu )
Na mavazi yako, unaniweka roho juu ( Roho Juu )
Basi embu cheza toka chini mpaka juu
Nataka niwe na wewe hapo sista doo ( Sista Doo )
Umependeza pekee yako usiku huu ( Usiku huu )
Na mavazi yako, unaniweka roho juu ( Roho Juu )
Basi embu cheza toka chini mpaka juu
Hook:
Napenda kuwa nawe Sista Doo...
Tupeane raha nyingi usiku huu...
Oh baby...
(Yo, Niite Chupa' Sajo)
Oh baby...
Anha'

Verse 3: Sajo
Nimefarijika sana' tupo pamoja, ebu nibusu basi bila kungoja
[Smooching]
I love you...U...
Skia dear' wewe ndo pekee' ambaye mimi nakuzimia'
Funguo za nafsi yangu of course nimekuachia
Ntafurahi' ukiwa wife, ntafurahi
Au twende counter chini', tukampee "hi" Roy
Yah'
Niite Chupa
(Sure!)
Na mahela' (Daz Baba)
Mwendo wa party tu, ndani na wachumba' una roll something, kwa Pusha come na mavumba
Umu ndani wapo, walio ingia hata' bila malipo
Lakini kila kona nakutana na (?) pia pembeni wameshikilia zao milupo
Ninavyojua mimi leo itakuwa soo...
Cheki milupo inawaka kwa P na Mo...
Here we go...
Watu wana kunywa bado dance bado...
Sure'
Na mahela'
Chorus:
Nataka niwe na wewe hapo sista doo ( Sista Doo )
Umependeza pekee yako usiku huu ( Usiku huu )
Na mavazi yako, unaniweka roho juu ( Roho Juu )
Basi embu cheza toka chini mpaka juu
Nataka niwe na wewe hapo sista doo ( Sista Doo )
Umependeza pekee yako usiku huu ( Usiku huu )
Na mavazi yako, unaniweka roho juu ( Roho Juu )
Basi embu cheza toka chini mpaka juu

[Instrumentals]

Chorus Repeat:

( Daz Baba )
www.ChordsAZ.com

TAGS :