Song: Vunga
Artist:  Rapcha
Year: 2020
Viewed: 61 - Published at: 10 years ago

Chorus:
Fanya kama hujaniona
Fanya kama hujaniona
Tukiumana kona
Fanya kama hujaniona' ka una pigo za kiree, Basi'
Yeah
Blaq>>Blaq
Fanya kama hujaniona
Fanya kama hujaniona
Tukiumana kona
Fanya kama hujaniona' (Ah) ka una pigo za kiree, (Ah) Basi'

Verse 1:
(?) na pia, Mi i keep it ninety nine plus one ,100
Leo nasafisha njia' saa hivi na wana kama 100
Afu kila mchongo wanakamia' uta aminia
Naanza na mabishoo wa mjini (Kuja hapa!)
Kupendeza na kupiga uno ndo mnachojua ninyi
Si mna magari mna hongwa ila mnavyo vimba' sijui huwaga mnaringia nini
Ex wangu alinitema nlipo fika chuo tu' baadhi ya masela wakatukacha walipofika chuo tu
Sasa nyie Wanachuo' ukiacha hiyo mihogo mnayo shindia kila siku hivi mnaringia nini
Shenzi Type
Ila baadhi ya makonda wabishi
Na kuna walinzi wana wazidi ma boss kwa ubishi
Una nunua kitu kwa hela yako ila muuzaji anavyo kuvimbia
Sijui anaringia nini
Mpenzi wako bana tunamjua' hata watu anao ruka nao kama wote tunawajua
Ila tunakaa kimya kwasababu hayatuhusu
Aya' tueleze unaringia nini
Chorus:
Fanya kama hujaniona
Fanya kama hujaniona
Tukiumana kona
Fanya kama hujaniona' ka una pigo za kiree, Basi'
Mi (?) maseke najua
Pande zangu msilete kujuana
Town usikae kizembe, kamua...
Fanya kama hujaniona

Verse 2:
Mtu akishajua una mpenda (Ohoo...)
Umekishwa' walahi yaani ataku pasua hilo bichwa (Mmm)
Na kisha atakuzungusha kama Mpiga picha na hakuna kitu utamfanya zaidi sana utaji chatisha (Dah fresh tu)
Pita road utakutana na Ma-traffic (Eeeehn)
Sijui ndo lile jua tu ndo linafanya mastori hawataki
Ma nesi nao umtuhurumie bana maisha bado hamja yapatia
Sijui mnaringia nini
Nilikuwa najua mastaa wa bongo wana mtonyo' wakiposti mapicha makali, nawanyooshea mikono
Sa mastaa wenyewe nlivyowakuta wako hoi' sijui huwaga wanaringia nini
Okay' na utakatifu sio wakujionesha na hisi'
Nenda kamringie tu ibilisi
Sawa hauli kitimoto ila mpenzi wako je' dini haikatazi anaipiga na Balimi na unam-kiss

Chorus:
Fanya kama hujaniona
Fanya kama hujaniona
Tukiumana kona
Fanya kama hujaniona' ka una pigo za kiree, Basi'
Vunga' kama
Mi (?) maseke najua
Pande zangu msilete kujuana
Town usikae kizembe, kamua
Fanya kama hujaniona
Basi'
Vunga' kama
Mi (?) maseke najua
Pande zangu msilete kujuana
Town usikae kizembe, kamua...
The Mix... Mix
Mi (?) maseke...
Pande zangu msilete...
Town usije kizembe...
Fanya kama hujaniona'
...Killer
[Instrumentals]

( Rapcha )
www.ChordsAZ.com

TAGS :