Song: Wife
Artist:  Daz Baba
Year: 2004
Viewed: 65 - Published at: 8 years ago

[Instrumentals:]

Verse 1: Daz Baba
Daz Baba nishakuwa mtu mzima' mi
Sasa nahitaji mrembo wa kuishi nami
Kuzaa na kulea, watoto nami
Kwenye shida na raha avumulie nami
Asinifanye kama barua, asababishe nijaribu kujiua
Anipe mapenzi, nimpe mapenzi
Naye aya enzi, asinifanyie ushenzi

Pre: Chorus
Ntafurahi nikimpata’ mwenye sifa zote nnazotaka
Kiuno anajua kukata, mpaka' mi nimeshindwa kumuacha

Chorus:
Muda umeshafika, nafikiri sasa nahitaji wife wa kuishi nami
Warembo wako wengi ata sijui yupi atakaye faa' ya kuishi nami
Muda utafika, kila mmoja naye atahitaji wife wa kuishi naye
Na kila mmoja ndiye atajuwa yupi hasa’ atakaye mfaa' ya kuishi naye
Verse 2: Ngwair
Ishakuwa soo' mtaani kashfa kibao
Ngwair' nshaamua sasa milupo, no!
Nahitaji honey, mwandani, aendane nami
Kwanzia tabia mpaka vitu fulani, yaani ikiwezekana apandishe hata majani, ila'
Asiwe ana-bore ka anapokuwa nami
Awe' ana kata viuno, aliyefunzwa unyagoni ( What )
Tuwapo kitandani anipe burudani (Ha ha)
Na' anipende mi, mi kama mi
(?) sio kisa eti mimi msanii ( Kweli )
Au labda naonekana sana kwenye T.V. ( No )
Bali waku nishauri juu ya H.I.V
Awe'
Mwenye lips pana...
Ndo maana’ ndo moja ya vitu ambavyo vinanichanganya
Na’
Akicheka ana mwanya...
Yo, sitakuwa na cha kufanya zaidi ya kumpenda sana...
Yeah!
Ngwair!

Chorus:
Muda umeshafika, nafikiri sasa nahitaji wife wa kuishi nami
Warembo wako wengi ata sijui yupi atakaye faa' ya kuishi nami
Muda utafika, kila mmoja naye atahitaji wife wa kuishi naye
Na kila mmoja ndiye atajuwa yupi hasa’ atakaye mfaa' ya kuishi naye
Verse 3: Daz Baba
...
Long time' namzimia huyu shawty, niliamini yeye ndio atayenifaa...
Sikuwahi hata kupiga nae stori, ila siku moja maskani nimekaa' nashangaa’ kupokea yake barua
Anadai mi ndo nnaye mchengua...
Hata jibu la kumpa, (?) sikujua, nikamwambia basi mama, moyo wangu chukua...
Ntashukuru kumpata' mwenye sifa zote nnazotaka
Kiuno anajua kukataa, mpaka' nimedata si ntomuacha

Chorus:
Muda umeshafika, nafikiri sasa nahitaji wife wa kuishi nami
Warembo wako wengi ata sijui yupi atakaye faa' ya kuishi nami
Muda utafika, kila mmoja naye atahitaji wife wa kuishi naye
Na kila mmoja ndiye atajuwa yupi hasa' atakaye mfaa' ya kuishi naye

Hook: Ngwair
Ma-Sista Doo' sasa wakati ndo umefika
Kuonyesha uwezo wenu wa kukatika
Tuone nani ambaye anayeweza kupagawisha
Ili mi niweze funga nae pingu za maisha
Ma-Sista Doo, ule' wakati ndio umefika
Kuonyesha uwezo wenu wa kukatika
Tuone nani anayeweza kutudatisha
Mmoja wetu' aweze kufunga naye za maisha...

[Instrumentals:]
Outro: Ngwair
"Mi' nahitaji wife, kwasababu mi nimetoka kwa wife, ndo nkaja mie
Uh...
Nadhani na wewe utahitaji wife, Ha Ha!
Nani anafaa kuwa wife? yeah
Hilo ndo swali...
Daz Baba
Ngwair
P-Funk
Bongo Records

( Daz Baba )
www.ChordsAZ.com

TAGS :