Song: Nitakucheki
Artist:  Rapcha
Year: 2021
Viewed: 49 - Published at: 3 years ago

Rapcha

International waoneshe

Verse 1

Kama umenikosha hivi

Siwezagi kuzama simple

Usione umenishika akili

Usije ukajidanganya hivyo


Bridge

Aaaaaahhh (Babe wee tulizana tu)
Aaaaaah ( ila umenichangaya mno )

Aaaaaah ( Basi we tulizana tu )
Aaaaaah (si tunaeza Bonga baadae!?)
Chorus

Ntakucheki....(Ntakupigia) ama utanicheki

Will you check on me!!

Ntakucheki... (Ntakupigia) ama utanicheck

Willy you check on me!!

Coz I know good girls love bad boys

I know good girls love bad boys

Najua good girls love bad boys

I know good girls love bad boys


Verse 2

Na huo uzuri ulionao afu naskia hii dunia tunapita

Sasa unabana ya nini

Secretary mzuri ukicheki Muda saa Sita
Usishangae kumuona boss kazini

Najua kukung’oa sio easy! No!

Ila ukinitema itanikata ka Kahaba akiwa period

Kuvimba, kunata sio Password

Hata uniangalie vibaya leo ntakusemesha tu

Basi navyokuchеki una mute

Nahisi ka umenipenda pia ka moyo puh puh

Yani hauna brеak mbio tu

Sio siri umenichanganya ka milango ya push and pull

Aaaaaahhh (Babe wee tulizana tu.....)
Aaaaaah ( ila umenichangaya mno )

Aaaaaah ( Basi we tulizana tu )
Aaaaaah (si tunaeza Bonga baadae )


Ntakucheki....(Ntakupigia) ama utanicheki
Will you check on me!!

Ntakucheki... (Ntakupigia) ama utanicheck

Willy you check on me!!

Coz I know good girls love bad boys

I know good girls love bad boys

Najua good girls love bad boys

I know good girls love bad boys

My love ooh my love
I go mad for your love babygirl

My love ooh my love
I go mad for your love babygirl

( Rapcha )
www.ChordsAZ.com

TAGS :