Song: Rap General
Year: 2021
Viewed: 8 - Published at: 6 years ago

Aaah! Trickson Knowledge

Master Beats

Danny Danny


[Verse One: Trickson Knowledge]

Mtetezi Njoo Ili Wahanga Tupone
Tena Njoo Ili Hawa Mashetani Wakome
Sisomeki Sio Lazima Unisome
Kunitangazia Mbaya Chunga We Snitch Ukome

Acheni Majungu Fanyeni Kazi
Huwezi Jibiwa Kwa Mungu Ka' Una Laana Ya Mzazi
Kwa Sasa Yule Dada Hana Hadhi
Si Alitoa Mimba Eeeh Mungu Katoa Kizazi

Iddi Amin Nduli Dada
Watoto Wanarudi Skuli Trickson Mi Nalipa Ada
Na Kill This Beat Nipe Murder
Ukiona Sionekani Jua Mi' Nipo Mbali Naset Radar
Usinichukulie Kaavu
Kwa Maana Ukiniona Mjinga Sawa Mi Nakuona Mpumbavu
Kama AY Jipe Shavu
Hali Ngumu Mpaka Mgaa Gaa Na Upwa Anakula Wali Mkavu

[Chorus One :Nala Mzalendo]

Eyooh Trickson Knowledge
Rap General Ooh Ooh Ooh Ooooh
Rap General
Rap General Ooh Ooh Ooh Ooooh

Eyooh Trickson Knowledge
Rap General Ooh Ooh Ooh Ooooh
Rap General
Rap General Ooh Ooh Ooh Ooooh

[Verse Two : Trickson Knowledge]

Dogo Kitaani Niite Dingi Ndani Baba
Trickson Sikupingi Anayekupinga Tu Ni Shaba
Ananichanganya Namba Nane Daz Baba
Hasara Roho Labda Paka Maana Ye Anazo Roho Saba

Kitu Pekee Cha Kuchunga Ni Muda
Ka' Umeshindwa Kaa Kimya Sio Uniongelee Ukuda
Umekacha Misingi Rapa Yuda
So Get Off My Way Bitch Maana Nikifika Navuruga
Hakuna Usamaria Kwa Wahuni
Ukila Unaliwa Sio Kamari Ni Sheria Ya Uchumi
Usis'kize Huo Uvumi
Wengi Tunaishi Kistaa Ila Ukweli Maisha Yetu Hali Duni

Eh! Unaweza Sema Trickson Counselor
Rap Berlin Conf' Trick Bismarck Chancellor
Akili Kisoda Nguvu Container
Nawabana Kisha Nawafungua Trickson Opener

[Chorus Two : Danny Love]

Kuchana Sio Lazima Uanze Na Yooh! Yooh!
I'm Taking Over Like Never Before

Kuchana Sio Lazima Uanze Na Yooh! Yooh!
I'm Taking Over Like Never Before

I'm Rap General Yes Jenerali
Flow Kali Mpaka Leo Ukubali

I'm Rap General Yes Jenerali
Flow Kali Mpaka Leo Ukubali

[Verse Three : Trickson Knowledge]
Namwona Smoker Anateseka Kakosa Nali
Mtoto Mzuri Kwangu Kashafunguka Tayari
Kwamba Ananikubali Hii Ni Hatari Mi Sijali
Sa' Napiga Kitachotokea Potelea Mbali

Potelea Mbali Kabisa
Mi Ngoja Nipige Asije Niona Nyoka Kibisa
Tena Ndio Vile Baba Paroko Mzee Wakanisa
Ila Napiga Kwa Uoga Maana Amri Ya Sita

Round Hii Nipo Na Master Beats Kwenye Ngoma
A Double M B Hii Empire Kweli Noma
Midundo Mpaka Homa
Brother Utakula Tatu Mara Kumi Ka' Unamtaka Wakusoma

I Have A Dream Kama T Breaker
I Got Win One Two Microphone Checker
When I Flow Say Trickson (Trickson)
Rap Is My Remedy And I'm Kill That Shiit Man

[Chorus Three : Nala & Danny]

[Nala Mzalendo]
Eyooh Trickson Knowledge
Rap General Ooh Ooh Ooh Ooooh
Rap General
Rap General Ooh Ooh Ooh Ooooh

Eyooh Trickson Knowledge
Rap General Ooh Ooh Ooh Ooooh
Rap General
Rap General Ooh Ooh Ooh Ooooh

[Danny Love]
Kuchana Sio Lazima Uanze Na Yooh! Yooh!
I'm Taking Over Like Never Before

Kuchana Sio Lazima Uanze Na Yooh! Yooh!
I'm Taking Over Like Never Before

I'm Rap General Yes Jenerali
Flow Kali Mpaka Leo Ukubali

I'm Rap General Yes Jenerali
Flow Kali Mpaka Leo Ukubali. (Wooh)

End _________________________

( Trickson Knowledge )
www.ChordsAZ.com

TAGS :